Ufafanuzi wa reki katika Kiswahili

reki

nominoPlural reki

  • 1

    kifaa cha shambani, mfano wa uma, chenye menomeno mengi, kinachotumiwa kuburura majani au kusawazisha udongo.

Asili

Kng

Matamshi

reki

/rɛki/