Ufafanuzi wa rekodiplea katika Kiswahili

rekodiplea

nomino

  • 1

    chombo kinachotumia nguvu za umeme au betri kuzungushia sahani za santuri na kuziwezesha kutoa muziki.

Asili

Kng

Matamshi

rekodiplea

/rɛkɔdiplɛja/