Ufafanuzi wa remba katika Kiswahili

remba

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    tia mapambo katika kitu ili kipendeze machoni.

    pamba

Matamshi

remba

/rɛmba/