Ufafanuzi msingi wa renge katika Kiswahili

: renge1renge2

renge1

nomino

  • 1

    mtu asiyeelewa kitu.

    mpumbavu, zuzu

Matamshi

renge

/rɛngɛ/

Ufafanuzi msingi wa renge katika Kiswahili

: renge1renge2

renge2

nomino

  • 1

    ngoma inayochezwa na vijana kwa kuzunguka duara na kupeana chambi.

Matamshi

renge

/rɛngɛ/