Ufafanuzi wa reresha katika Kiswahili

reresha

kitenzi sielekezi~ea, ~eka

  • 1

    kuwa na tabia ya uasherati.

  • 2

    tembea huku na huko na kupiga domo.

Matamshi

reresha

/rɛrɛ∫a/