Ufafanuzi wa resi katika Kiswahili

resi

nominoPlural resi

  • 1

    ukanyagaji klachi ili kuongeza mafuta na hivyo kuongeza kasi ya gari.

Asili

Kng

Matamshi

resi

/rɛsi/