Ufafanuzi wa rewa katika Kiswahili

rewa

nominoPlural rewa

  • 1

    ngoma kubwa ya kuwaita watu kwenye jambo.

  • 2

    mlio maalumu wa ngoma unaowaita watu kwenye jambo.

Matamshi

rewa

/rɛwa/