Ufafanuzi wa reza katika Kiswahili

reza

nominoPlural reza

  • 1

    kitu kama pete kinachopigiliwa kwenye mlango na ambacho hupachikwa tumbuu na kufungwa kufuli.

Asili

Kng

Matamshi

reza

/rɛza/