Ufafanuzi wa ria katika Kiswahili

ria

nomino

  • 1

    hali ya kufanya jambo kwa ajili ya kutaka kusifiwa au kujionyesha.

Matamshi

ria

/rija/