Ufafanuzi wa riadha katika Kiswahili

riadha

nominoPlural riadha

  • 1

    michezo ya mazoezi ya viungo vya mwili k.v. kuvuta kamba, kwenda mbio, kuruka au kuogelea.

Asili

Kar

Matamshi

riadha

/rijaða/