Ufafanuzi wa riaria katika Kiswahili

riaria

kitenzi sielekezi~lia, ~lisha

  • 1

    enda huko na huko bila ya kutulia; zengea kitu.

    methali ‘Mwenye kijungu mekoni haachi kuriaria’
    shughulika, hangaika, kiakia, piapia

Matamshi

riaria

/rijarija/