Ufafanuzi wa riba katika Kiswahili

riba

nominoPlural riba

  • 1

    faida anayopata mtu aliyekopesha watu fedha ambayo ni ziada ya fedha aliyokopesha.

    ‘Kula riba’

Asili

Kar

Matamshi

riba

/riba/