Ufafanuzi wa ribiza katika Kiswahili

ribiza

kitenzi elekezi

  • 1

    tia irabu katika konsonanti ili kufanya silabi.

Matamshi

ribiza

/ribiza/