Ufafanuzi wa riboribo katika Kiswahili

riboribo

nominoPlural riboribo

  • 1

    kelele za furaha na shangwe.

Matamshi

riboribo

/ribɔribɔ/