Ufafanuzi wa ridhi katika Kiswahili

ridhi

kitenzi elekezi

  • 1

    kubali au pendezwa na jambo.

Asili

Kar

Matamshi

ridhi

/riĆ°i/