Ufafanuzi wa ridhia katika Kiswahili

ridhia

kitenzi elekezi

  • 1

    toa ruhusa kitu kifanyike.

    kubali, hiari

Asili

Kar

Matamshi

ridhia

/riĆ°ija/