Ufafanuzi wa ridhika katika Kiswahili

ridhika

kitenzi sielekezi~ia, ~isha

  • 1

    tosheka na maelezo au hali ya kitu fulani.

    furahi, kubali

Asili

Kar

Matamshi

ridhika

/riðika/