Ufafanuzi msingi wa rika katika Kiswahili

: rika1rika2

rika1

nominoPlural rika, Plural marika

 • 1

  ngoma ndogo na nyembamba iliyowambwa upande mmoja na kuzungushiwa vijibati kwenye kingo zake.

Matamshi

rika

/rika/

Ufafanuzi msingi wa rika katika Kiswahili

: rika1rika2

rika2

nominoPlural rika, Plural marika

 • 1

  umri mmoja.

  ‘Watoto hawa ni rika moja’
  ‘Mimi na yeye ni rika moja’
  hirimu

Matamshi

rika

/rika/