Ufafanuzi wa rikoriko katika Kiswahili

rikoriko

nominoPlural rikoriko

  • 1

    kitoweo k.v. mchuzi, borohoa, n.k. kilicho na rojorojo zito kama uji.

Matamshi

rikoriko

/rikɔrikɔ/