Ufafanuzi wa rimbwata katika Kiswahili

rimbwata

nominoPlural rimbwata

  • 1

    dawa inayotengenezwa kwa nyama, agh. maini, na kudhaniwa kuchochea mapenzi.

Matamshi

rimbwata

/rimbwata/