Ufafanuzi wa rina katika Kiswahili

rina

kitenzi elekezi

  • 1

    fukuza nyuki kutoka kwenye mzinga na kukata masega ya asali ili kupakua asali.

    unda

Matamshi

rina

/rina/