Ufafanuzi wa ripea katika Kiswahili

ripea

kitenzi elekezi~lea, ~wa

  • 1

    fanya matengenezo ya kitu kilichoharibika ili kifae tena.

Asili

Kng

Matamshi

ripea

/ripɛja/