Ufafanuzi msingi wa ripoti katika Kiswahili

: ripoti1ripoti2

ripoti1

nomino

  • 1

    maelezo juu ya mtu, kitu, tukio au jambo.

    taarifa, habari

Asili

Kng

Matamshi

ripoti

/ripɔti/

Ufafanuzi msingi wa ripoti katika Kiswahili

: ripoti1ripoti2

ripoti2

kitenzi elekezi

  • 1

    toa maelezo juu ya mtu, kitu, tukio au jambo fulani.

    arifu, taarifu, julisha

Asili

Kng

Matamshi

ripoti

/ripɔti/