Ufafanuzi wa ripuripu! katika Kiswahili

ripuripu!

kiingizi

  • 1

    tamko la furaha au la pongezi ambalo, agh. hutumiwa baada ya kumalizika au kufaulu kwa jambo fulani.

    ‘Ripuripu Huree!’

Matamshi

ripuripu!

/ripuripu/