Ufafanuzi wa risasi katika Kiswahili

risasi

nominoPlural risasi

  • 1

    aina ya madini yenye rangi ya buluu na kijivu hafifu ambayo ikichomwa huyeyuka kwa urahisi.

Asili

Kar

Matamshi

risasi

/risasi/