Ufafanuzi wa rishai katika Kiswahili

rishai

kitenzi sielekezi

  • 1

    toa majimaji au unyevunyevu; kuwa chepechepe.

Asili

Kar

Matamshi

rishai

/ri∫ai/