Ufafanuzi wa risimu katika Kiswahili

risimu

nomino

  • 1

    bei ya kwanza ya kitu kinachonadiwa katika mnada.

Asili

Kar

Matamshi

risimu

/risimu/