Ufafanuzi msingi wa riwaya katika Kiswahili

: riwaya1riwaya2

riwaya1

nominoPlural riwaya

Fasihi
 • 1

  Fasihi
  hadithi ndefu ya kubuni iliyoandikwa kwa maandishi ya nathari, agh. inayoeleza ukweli fulani wa maisha.

  hadithi

Asili

Kar

Matamshi

riwaya

/riwaja/

Ufafanuzi msingi wa riwaya katika Kiswahili

: riwaya1riwaya2

riwaya2

nominoPlural riwaya

Fasihi
 • 1

  Fasihi
  nadharia tofauti za elimu kutokana na wataalamu au wanazuoni mbalimbali kuhusu jambo fulani.

Asili

Kar

Matamshi

riwaya

/riwaja/