Ufafanuzi wa robo katika Kiswahili

robo

nominoPlural robo

  • 1

    sehemu moja ya nne ya kitu kamili.

Asili

Kar

Matamshi

robo

/rɔbɔ/