Ufafanuzi wa robota katika Kiswahili

robota

nominoPlural marobota

  • 1

    mtumba mkubwa wa bidhaa uliofungwa, agh. kwa mashine, ili kusafirishwa.

    ‘Robota la pamba’
    ‘Robota la katani’

Asili

Kar

Matamshi

robota

/rɔbɔta/