Ufafanuzi wa rogonya katika Kiswahili

rogonya

kitenzi elekezi~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    sema maneno yasiyotambulika na wengi na kwa sauti kubwa na upesiupesi katika mambo ya uganga au tambiko.

Matamshi

rogonya

/rɔgɔɲa/