Ufafanuzi msingi wa roho katika Kiswahili

: roho1roho2

roho1

nominoPlural roho

 • 1

  kitu kisichoonekana, ambacho hufikiriwa kuwa ni sehemu ya mwili wa kiumbe, ambayo hukiwezesha kuwa na uhai; pumzi ya uhai.

  nafsi

 • 2

  kitu chochote ambacho ni muhimu kwa maisha au uendeshaji wa shughuli fulani.

Asili

Kar

Matamshi

roho

/rɔhɔ/

Ufafanuzi msingi wa roho katika Kiswahili

: roho1roho2

roho2

nominoPlural roho

 • 1

  hali ya kuwa na huruma na wema.

Asili

Kar

Matamshi

roho

/rɔhɔ/