Ufafanuzi wa rondo katika Kiswahili

rondo

nominoPlural marondo

  • 1

    sehemu ya chini ya mguu wa mnyama baina ya goti na kwato.

Matamshi

rondo

/rɔndɔ/