Ufafanuzi wa rongera katika Kiswahili

rongera

nomino

  • 1

    togwa ambayo haijachachuka na kuwa pombe.

Matamshi

rongera

/rɔngɛra/