Ufafanuzi wa roshani katika Kiswahili

roshani

nomino

  • 1

    sehemu ya nyumba ya ghorofa iliyojitokeza na inayotumika kama baraza.

Asili

Kar

Matamshi

roshani

/rɔ∫ani/