Ufafanuzi wa rovu katika Kiswahili

rovu

nomino

  • 1

    ugonjwa wa kuvimba tezi kwenye shingo.

    tezi

Matamshi

rovu

/rɔvu/