Ufafanuzi wa rovyo katika Kiswahili

rovyo

kivumishi

  • 1

    -enye ulaini.

    laini, teketeke, tabwatabwa, tepwetepwe, tepetepe

Matamshi

rovyo

/rɔvjɔ/