Ufafanuzi wa rudishia katika Kiswahili

rudishia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~wa

  • 1

    rejeshea mtu kitu kilichoazimwa au pesa zilizokopwa.

Asili

Kar

Matamshi

rudishia

/rudi∫ija/