Ufafanuzi msingi wa rudufu katika Kiswahili

: rudufu1rudufu2

rudufu1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    fanya kitu kuwa madhubuti kwa kuongeza kingine kama hicho.

    ‘Alizirudufu nyuzi hizi’

Asili

Kar

Matamshi

rudufu

/rudufu/

Ufafanuzi msingi wa rudufu katika Kiswahili

: rudufu1rudufu2

rudufu2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    fanya nakala.

Asili

Kar

Matamshi

rudufu

/rudufu/