Ufafanuzi wa rui katika Kiswahili

rui

nominoPlural marui

  • 1

    mtu mdanganyifu na asiyekuwa na hofu; laghai mkubwa.

Asili

Kar

Matamshi

rui

/ruji/