Ufafanuzi wa rujumu katika Kiswahili

rujumu

kitenzi elekezi

  • 1

    piga kwa mawe.

Asili

Kar

Matamshi

rujumu

/ruʄumu/