Ufafanuzi wa rumani katika Kiswahili

rumani

nomino

  • 1

    matiti ya msichana ambayo bado yamesimama, yaani hayajaanguka kwa utuuzima au kunyonyesha.

    dodo

Matamshi

rumani

/rumani/