Ufafanuzi wa runda katika Kiswahili

runda

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kuwa mfupi kwa kukosa baadhi ya virutubisho vinavyohitajika mwilini ili kukua.

    via

Matamshi

runda

/runda/