Ufafanuzi wa rundikana katika Kiswahili

rundikana

kitenzi elekezi

  • 1

    jazana kwa watu au vitu mahali fulani bila mpango maalumu.

  • 2

    kusanyika vitu kwa wingi mahali pamoja.

    ‘Rundikana ovyo’

Matamshi

rundikana

/rundikana/