Ufafanuzi wa rununu katika Kiswahili

rununu

nominoPlural rununu

  • 1

    simu yoyote ya kawaida au ya elektroniki, iliyowekwa kwenye meza, ya mkononi, iliyoangikwa au iliyojengewa kibanda.

Matamshi

rununu

/rununu/