Ufafanuzi wa rutuba katika Kiswahili

rutuba

nominoPlural rutuba

  • 1

    mbolea ya kutosha inayowezesha mmea kuota na kukua upesi na bila ya taabu.

Asili

Kar

Matamshi

rutuba

/rutuba/