Ufafanuzi wa rutubika katika Kiswahili

rutubika

kitenzi sielekezi~ika

  • 1

    kuwa na mbolea ya kutosha.

Asili

Kar

Matamshi

rutubika

/rutubika/