Ufafanuzi wa rutubisha katika Kiswahili

rutubisha

kitenzi elekezi

  • 1

    tia mmea mbolea ili uweze kumea vizuri.

Asili

Kar

Matamshi

rutubisha

/rutubiāˆ«a/