Ufafanuzi wa ruwaza katika Kiswahili

ruwaza

nominoPlural ruwaza

  • 1

    mfano wa hali au jambo.

    ‘Fuata ruwaza ya babako’

  • 2

    mpangilio maalumu wa jambo.

Asili

Kar

Matamshi

ruwaza

/ruwaza/