Ufafanuzi wa saa katika Kiswahili

saa

nominoPlural saa

 • 1

  muda wa dakika sitini.

  ‘Safari yangu ilichukua saa tatu nzima!’

 • 2

  kifaa cha kupimia wakati.

 • 3

  muda wa kufanya jambo fulani.

Asili

Kar

Matamshi

saa

/sa:/